Saadani hifadhi ya kipekee


 

  • Nyati baadhi ya vivutio katika hifadhi ya Saadani

    Nyati baadhi ya vivutio katika hifadhi ya Saadani

 

Diana Rubanguka

Saadani.

Imeelezwa kuwa Hifadhi ya Taifa ya Saadani iliyoko Mkoa wa Pwani na Tanga ni hifadhi ya kipekee kutokana na kuwa na aina nne za utalii ndani mwake tofauti na hifadhi nyingine nchini. Continue reading

By KigomaLive Posted in Habari

Waonywa kutowadhuru watafiti


WANANCHI wa Mkoa wa Kigoma, wametahadharishwa kutowadhuru watafiti au kukwamisha kwa namna yoyote utafiti unaofanywa na serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), pamoja na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), kuhusu hali ya upatikanaji wa nishati nchini. Continue reading

By KigomaLive Posted in Habari

CCM Kigoma watumbuana


HALMASHAURI kuu ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kigoma, imewafukuza uanachama, wanachama tisa wa chama hicho kutoka wilaya ya Uvinza na wilaya ya kichama ya Kigoma mjini, ambao wanatuhumiwa kukisaliti chama wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Continue reading

By KigomaLive Posted in Habari

Watalii waisusia Tanzania


DSC06362

 

Baada ya Bunge la Tanzania kupitisha bajeti iliyoweka kodi ya ongezeko la thamani katika sekta ya utalii, kampuni kubwa za mawakala wa utalii jijini Arusha zimeripoti kuwa zaidi ya wageni 8,000 wamekatiza safari na kupoteza kiasi dola milioni sita.

Chanzo:DW

By KigomaLive Posted in Habari

Mwalimu ajiua kwa kujinyonga


Pichani ni askari polisi akifungua kamba zilizotumiwa na marehemu kujinyonga.

Pichani ni askari polisi akifungua kamba zilizotumiwa na marehemu kujinyonga.

 

Vilio na simanzi vimetawala mapema asubuhi ya leo nyumbani kwa Shiza Athumani, mkazi wa Katubuka, baada ya Mwalimu wa shule ya Msingi Buzebazeba katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, Victoria Wiso, mwenye umri wa miaka 38 ambaye ni mke wake kukutwa amejiua kwa kujinyonga kwa kamba jikoni nyumbani kwake alfajiri ya leo.

Continue reading

By KigomaLive Posted in Habari