Maafisa wa Wakala wa Misitu Kasulu watumbuliwa jipu


KAMATI ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, imewasimamisha kazi na kuwakamata maafisa watatu wa Wakala wa Misitu Tanzania TFS, katika wilaya hiyo kosa la kufanya udanganyifu katika uvunaji wa mazao ya misitu wilayani humo kufuatia kukamata zaidi ya mbao elfu moja zikiwa zimevunwa kinyume cha sheria. Continue reading

Advertisements
By KigomaLive Posted in Habari

TFDA yateketeza bidhaa za ml.19 Kigoma


Bidhaa zilizokamatwa na TFDA, zikiandaliwa kuteketezwa kwa moto katika dampo la manispaa ya Kigoma Ujiji, chini ya usimamizi wa maafisa wa TFDA.

Bidhaa zilizokamatwa na TFDA, zikiandaliwa kuteketezwa kwa moto katika dampo la manispaa ya Kigoma Ujiji, chini ya usimamizi wa maafisa wa TFDA.

 

MAMLAKA ya Chakula na Dawa nchini, TFDA, Kanda ya Magharibi, imekamata na kuteketeza bidhaa mbali mbali za chakula, dawa, vifaa tiba vilivyokwisha muda wake na vipodozi vilivyopigwa marufuku, zenye uzito wa tani moja na nusu. Continue reading

By KigomaLive Posted in Habari

Ziara ya Waziri Mkuu yaibua “Jipu”Kigoma


WAZIRI Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, akihutubia katika moja ya mikutano wakati wa ziara yake mkoani Kigoma.

WAZIRI Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, akihutubia katika moja ya mikutano wakati wa ziara yake mkoani Kigoma.

 

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku mbili kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Eng. John Ndunguru kukamilisha uchunguzi wake na kumpatia taarifa ya maandishi juu ya tuhuma za ubadhirifu wa mali za umma unaohusisha uuzwaji wa nyumba tatu za Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji kwa bei ya kutupa. Continue reading

By KigomaLive Posted in Habari

Waziri Mkuu Majaliwa akunwa na Soko la Samaki


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijionea utayarishaji wa Samaki aina ya Dagaa katika Soko la Kisasa la Kibirizi mjini Kigoma. (Picha na Emmanuel Matinde).

 

E80A2450

E80A2449

 

WAZIRI Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, ametoa rai kwa wafanyabiashara wa Samaki mkoani Kigoma kujikita katika kuongeza thamani ya mazao ya uvuvi ili kuvutia soko la ndani na nje ya nchi. Continue reading

By KigomaLive Posted in Habari