Masoko yakwamisha miradi ya Wazee

Mtaalam wa Mizinga Nyuki ya Kisasa, Philipo Grant, alipotembelea miradi ya Wazee ya ufugaji Nyuki katika vilivyo na miradi hiyo wilayani Kasulu.

Mtaalam wa Mizinga ya Nyuki ya Kisasa, Philipo Grant, kutoka TDT, alipotembelea miradi ya Wazee ya ufugaji Nyuki katika vilivyo na miradi hiyo wilayani Kasulu.

WAZEE wenye miradi ya ufugaji Nyuki kutoka katika Vijiji vitano vilivyoko wilayani Kasulu mkoani Kigoma, wameitaka serikai na wadau mbali mbali wasaidie katika upatikanaji wa masoko ya mazao yao ambayo wanatarajia kuvuna hivi karibuni. Continue reading

By KigomaLive Posted in Habari

Magufuli apata wakati mgumu kumnadi mgombea

Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini, kwa tiketi ya CCM, Dkt. Warid Amani Kabourou, akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za Magufuli kwenye uwanja wa Kawawa.

Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini, kwa tiketi ya CCM, Dkt. Warid Amani Kabourou, akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za Magufuli kwenye uwanja wa Kawawa.

MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, John Pombe Magufuli, amepata wakati mgumu wa kumnadi mgombea wa chama hicho nafasi ya ubunge jimbo la Kigoma Mjini, Dkt.Aman Warid Kabourou, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana kwenye uwanja wa Kawawa mjini Kigoma. Continue reading

By KigomaLive Posted in Siasa

Mto Malagarasi ndoto imetimia: Rais Kikwete

Rais Kikwete, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa daraja la Mto Malagarasi, wilayani Uvinza.

Rais Kikwete, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa daraja la Mto Malagarasi, wilayani Uvinza.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Jakaya Kikwete, amezindua Daraja la Mto Malagarasi na kuashiria kukamilika na serikali kuupokea rasmi mradi wa daraja hilo lenye urefu wa mita 275 kutoka kwa mkandarasi Kampuni ya Hanil Engineering kutoka nchini China, iliyolijenga. Continue reading

By KigomaLive Posted in Habari

Kauli ya Kafulila yaanza kumtafuna, Machali na Mchange wamshambulia

Zitto akihutubia mamia ya watu waliohudhuria uzinduzi wa kampeni za wabunge na madiwani wa ACT mkoa wa Kigoma, kwenye Uwanja wa Kawawa Ujiji.

Zitto akihutubia mamia ya watu waliohudhuria uzinduzi wa kampeni za wabunge na madiwani wa ACT mkoa wa Kigoma, kwenye Uwanja wa Kawawa Ujiji.

KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo na mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe, amewataka wakazi wa jimbo hilo na mkoa wa Kigoma kwa ujumla wakiwemo wauza Mawese kuwapigia kura wagombea wote wa ACT ili kiweze kubadili maisha yao. Continue reading

By KigomaLive Posted in Siasa