Kikwete:Hii ndiyo Kigoma ninayoiona

Rais Jakaya Kikwete, alipozindua Jengo la NSSF, Mkoa wa Kigoma, leo.

Rais Jakaya Kikwete, alipozindua Jengo la NSSF, Mkoa wa Kigoma, leo.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Dkt. Jakaya Mrisho Kiwete, amesema Mkoa wa Kigoma ni moja kati ya mikoa ambayo miaka michache ijayo itapiga hatua kubwa kimaendeleo katika Nyanja mbali mbali. Continue reading

By KigomaLive Posted in Habari