Image

Picha: Mbunge wa UVCCM Kigoma aongoza Vijana wenzake kufanya usafi

Tazama picha mbali mbali za Mbunge wa Bunge la Jmahuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia UVCCM Mkoa wa Kigoma, Zainab Katimba(aliyevaa Gum Boot), akiwaongoza Vijana wenzake katika zoezi la kufanya usafi, ambapo wamefanya usafi katika eneo la Hospitali ya Maweni.

Tazama picha mbali mbali za Mbunge wa Bunge la Jmahuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia UVCCM Mkoa wa Kigoma, Zainab Katimba, akiwaongoza Vijana wenzake katika zoezi la kufanya usafi, ambapo wamefanya usafi katika eneo la Hospitali ya Maweni.

E80A1866

E80A1815

Tazama picha hapa chini Mbunge kupitia UVCCM Mkoa wa Kigoma, Zainab Katimba, alipotembelea Hospitali ya Maweni na Vijana wengine wakiongozwa na Mwenyekiti UVCCM Mkoa wa Kigoma, Peter Msanjila.

Mbunge huyo amewafariji wagonjwa na kutoa zawadi ya sabuni, vinywaji laini na Biskuti, ambapo pia amewapa salaam wagonjwa kutoka kwa Rais John Magufuli, kwamba wawe na matumaini kuhusu huduma za afya.

E80A1749

E80A1727

E80A1717

E80A1718

E80A1736

E80A1779

E80A1732

By KigomaLive Posted in Habari

Tazama picha mbali mbali za ziara ya ujumbe wa UN Kigoma

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Issa Machibya, akimkaribisha ofisini kwake Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Alvaro Rodriguez, aliyefuatana na Mwakilishi wa UNFPA, Natalia Kanem.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Issa Machibya, akimkaribisha ofisini kwake Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Alvaro Rodriguez, aliyefuatana na Mwakilishi wa UNFPA, Natalia Kanem.

Mratibu Mkazi wa UN hapa nchini Alvaro Rodriguez, akiwaongoza viongozi wengine akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, kuinua mabango yenye jumbe mbali mbali yakiwemo ya kupinga umasikini na kuhimiza elimu bora.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Issa Machibya, katika picha ya pamoja na Mratibu Mkazi wa UN, hapa nchini, Alvaro Rodriguez na Mwakilishi wa UNFPA, Dr. Natalia Kanem, nje ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Issa Machibya, katika picha ya pamoja na Mratibu Mkazi wa UN, hapa nchini, Alvaro Rodriguez na Mwakilishi wa UNFPA, Dr. Natalia Kanem, nje ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.

Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez, akiangalia namna ya utengenezaji wa sabuni alipotembelea kikundi cha wajasiriamali eneo la Katubuka mjini Kigoma.

Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez, akiangalia namna ya utengenezaji wa sabuni alipotembelea kikundi cha wajasiriamali eneo la Katubuka mjini Kigoma.

E80A1463

By KigomaLive Posted in Habari