Waziri wa Magufuli aianza vibaya “Hapa ni Kazi tu”


Eng. Stella Manyanya, akila kiapo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Eng. Stella Manyanya, akila kiapo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, amemuomba radhi Rais Magufuli na watanzania wote kwa ujumla kwa kitendo chake cha kukumbwa na kigugumizi na kusita sita muda wote wa kula kiapo na kushangaza wengi waliofuatilia tukio la wakati Rais Magufuli kuwaapisha mawaziri hii leo Jijini Dar es Salaam. Continue reading

By KigomaLive Posted in Habari