Vijana waaswa kuwa mabalozi wa kudumisha amani

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Gellard Guninita, akiaungumza katika mahafari ya nane ya kidato cha nne katika shule ya Sekondari Mwilamvya.

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Gellard Guninita, akiaungumza katika mahafari ya nane ya kidato cha nne katika shule ya Sekondari Mwilamvya.

Mkuu wa Shule ya Sekondari Mwilamvya, Emmanuel Saguda, akisoma risala ya shule mbele ya mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Gellard Guninita, wakati wa mahafali shuleni hapo.

Mkuu wa Shule ya Sekondari Mwilamvya, Emmanuel Saguda, akisoma risala ya shule mbele ya mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Gellard Guninita, wakati wa mahafali shuleni hapo.

Wahitimu wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Mwilamvya, wilayani Kasulu, wakiimba wimbo wa kuagana na wenzao wanaobaki.

Wahitimu wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Mwilamvya, wilayani Kasulu, wakiimba wimbo wa kuagana na wenzao wanaobaki.

Mzazi wa mmoja wa Wanafunzi wahitimu katika Shule ya Sekondari ya Mwilamvya, kutoka Shinyanga, akitoa maelezo ya kuisifia shule hiyo kwa kulea watoto vizuri.

Mzazi wa mmoja wa Wanafunzi wahitimu katika Shule ya Sekondari ya Mwilamvya, kutoka Shinyanga, akitoa maelezo ya kuisifia shule hiyo kwa kulea watoto vizuri.

Mkurugenzi wa Shule za Mwilamvya Sekondari na English Medium, Consolata Elias Maliyatabu, akimwongoza mgeni rasmi na wageni waalikwa kusimama kwa dakika moja kumkumbuka aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Elias Maliyatabu, aliyefariki dunia Januari 12 mwaka huu.

Mkurugenzi wa Shule za Mwilamvya Sekondari na English Medium, Consolata Elias Maliyatabu (kushoto), akimwongoza mgeni rasmi na wageni waalikwa kusimama kwa dakika moja kumkumbuka aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Elias Maliyatabu, aliyefariki dunia Januari 12 mwaka huu.

MKUU wa Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma, Gerlad Guninita, ametoa wito kwa vijana wote wilayani humo kuwa makini katika kutumia haki yao ya kidemokrasia kwa kuzingatia sheria za uchaguzi katika siku ya upigaji kura ya kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani ili kudumisha amani na utulivu. Continue reading

By KigomaLive Posted in Elimu