Tazama Picha kutoka Viwanja vya Shule ya Msingi Ujiji Manispaa ya Kigoma Ujiji ambapo swala ya Eid El Fitri imefanyika


DSC07133

 

DSC07136

 

DSC07128DSC07132

 

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Kanali Mstaafu Issa Salehe Machibya mwenye kanzu na koti jeusi alikuwa mgeni rasmi katika Ibada ya Sala ya Idd.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Kanali Mstaafu Issa Salehe Machibya mwenye kanzu na koti jeusi alikuwa mgeni rasmi katika Ibada ya Swala ya Idd.

 

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Kanali Mstaafu, Issa Salehe Machibya, akitoa salaam za Idd.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Kanali Mstaafu, Issa Salehe Machibya, akitoa salaam za Idd katika Ibada ya swala ya Idd.

 

Sheikh wa Wilaya ya Kigoma, Sheikh Twaha Idd Kibulwa, akitoa hotuba.

Sheikh wa Wilaya ya Kigoma, Sheikh Twaha Idd Kibulwa, akitoa hotuba katika Ibada ya swala ya Idd.

 

Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Kigoma, Hassan Idd Kibulwa nae akitoa hotuba kwenye Ibada ya Sala ya Idd.

Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Kigoma, Hassan Idd Kibulwa nae akitoa hotuba kwenye Ibada ya Swala ya Idd.

Advertisements

Toa Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s